Farm 14 acres for sale in Kibiti district ,pwani.

  • TZS 150,000,000
Kibiti, Pwani Region, Coastal Zone, Tanzania
For Rent
Kibiti, Pwani Region, Coastal Zone, Tanzania
  • TZS 150,000,000

Description

Heka 14 zinauzwa Kibiti, mita 500 kutoka barabara kuu ya rami, au Stand kuu ya Bus ya Kibiti. Shamba lipo jirani na shule ya msingi Kitundu, au makao makuu ya wilaya ya Kibiti.
Ndaji ya shamba kuna rasilimali zifuatazo.
>>Michungwa inazaa sana
>>Michenza inazaa sana
>>Miembe inazaa sana
>>Migomba
>>Miparachichi
>>Mipapai
>>Mikorosho inazaa sana
>>Mawese inazaa sana
Na vinginevyo.

Ni shamba zuri sana lenye ardhi yenye rutba, pia una uwezo kuwa kuchimba kisima ukapata maji safi ya kudumu.

Shamba limezungukwa na barabara kuu zinazoenda makao makuu ya wilaya, umeme upo, majirani wapo na huduma za kijamii zote zinapatikana kwa uhakika kabisa.

  • Address Kibiti, Pwani Region, Coastal Zone, Tanzania
  • City Pwani
  • Area Kibiti

Details

Updated on July 28, 2022 at 3:03 pm
  • Property ID: BFR-74657
  • Price: TZS 150,000,000
  • Property Type: Land
  • Property Status: For Rent

Contact Information

View Listings

Enquire About This Property

Compare listings

Compare
Bashir Said
  • Bashir Said