ENEO ZURI SANA KUBWA LINAUZWA BINAFSI
LIPO MBEZI KWA YUSUPH DAR ES SALAAM TANZANIA
Ukubwa wa ENEO SQM 3000
Bei: Mil. 180 Maongezi yapo
Umiliki – mauziano ya serikali ya mtaa
Umbali takribani 1 km kutoka Morogoro road, upande kama unaelekea mpiji
Huduma zote Muhimu zipo hapa, unaweza kujenga hotel,lodge, kanisa , apartments NK.
Panafika bila shida yoyote Ile Kwa Aina yoyote ya gari.
Kupelekwa kuona viwanja 30,000/=
Compare listings
Compare