Eneo linauzwa Nungwi main road lina ukubwa wa 30 meter kwa 50 meter bei 130ml tsh. Eneo lipo sheli ya kendwa ambapo pana airport mpya kwa ajil ya utalii zanzibar Na mahotel makubwa nungwi. Hii sehem inaluhusiwa ujenzi wa aina yeyote. Show rooms. House villa. Hotel. Bungalow. Hospital. Office. Maduka . Kila kitu unacho kiitaji mana eneo lipo katika sehemu ilio na movement ya biashara.