Eneo la ukubwa wa hekari 1.7 sawa na sqm 4500 linauzwa. Lipo Mbezi Luguruni jirani na St. Joseph University. Eneo ni tambarare na lipo umbali wa 200m toka barabarani. Hati ipo.Linafaa kwa makazi,yard,hostel,appartments na hote.Bei yake ni 350million Tsh.Kupelekwa kuona. Karibuni.
Compare listings
Compare