*Ekari 2 zinauzwa kando ya barabara ya njia 6 – Ringroad Mahomanyika Dodoma.*
-Kiwanja kinafaa kwa Yard, Petrol Station, au Warehouse kwa sababu kiko mkabala na eneo la EPZ la ukanda wa Uwanja wa Ndege.
-Ukubwa wa kiwanja SQM 8,000 (ekari 2)
-Eneo limepimwa linatambulika Halmashauri.
*Bei shilingi milioni 100 maongezi yapo*
Compare listings
Compare