ENEO KUBWA LINA NYUMBA NDANI LINAUZWA BINAFSI
KIPO BOKO TEMBONI KIBAHA PWANI
BEI MILLION 40
Eneo Ni Zuri Sana na bei rafiki sana
Ndani kuna nyumba ya room mbili za kulala moja self, sebule, jiko, choo,
Umiliki: Mauziano Ya Serikali Ya Mtaa (Sales Agreement)
Ukubwa Wa Eneo: ekari 1.5
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 30,000/=
Wale wa maeneo kwa ajili ya makazi na kufuga hili linakufaa sana,,
Takeibani km 3.5 kutoka moro road, na mita 150 tu kutoka Ile barabara kubwa inayoelekea boko mnemela/mpiji nk
Umeme na maji vipo
TUPIGIE
Compare listings
Compare