Jengo kubwa kabisa kwa ajili ya kuweka ofisi linapangishwa, Lina Floor 18, Lift, vyumba 3 kila floor, Lina faa kuweka ofisi yoyote ile, Jengo linapangishwa $30000 per month but maongezi yapo, Location ni Masaki, Pia ukitaka kupanga Floor moja pia inaruhusiwa na bei ni tofauti
Compare listings
Compare