APARTMENT NZURI YA KISASA
APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM
SEBULE KUBWA
JIKO KUBWA
PUBLIC TOILET
LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
PARKING KUBWA
ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
BEI NI 500,000/= X 6
APARTMENT HII IPO MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI NJIA ILIYOWEKWA LAMI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1
service survey charge elfu 20 cash
0784139933
piga sim usitume sms utachelewa kujibiwa
DALALI MTU MUHIMU DALALI AHESHIMIWE
Compare listings
Compare