APARTMENT NZURI SANA MPYA KABISA ZINAPANGISHWA
#VYUMBA 3 VIKUBWA SANA VYA KULALA KATI YA HIVYO VYUMBA 2 NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LINAWEKWA MAKABATI
#PUBLIC TOILET
KODI TSH 600,000X6
🏠🏠 NYUMBA MBILI KWENYE FENSI MOJA ZENYE SIFA HIZI
#VYUMBA VWILI VYA KULALA, KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE
#JIKO
#PUBLIC TOILET
KODI..500,000X6
🏠🏠NYUMBA HIZI ZIPO KWA ROBERT UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA GOBA
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 12 TUU KWA MIGUU
NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONYESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 30
NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
💥UJENZI UNAENDELEA NA MAFUNDI WANAENDELEA KUPAMBA NYUMBA
What saapp Number 0689-547258
Email chamotolukasi@gmail.com
Compare listings
Compare