APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI

  • TZS 250,000
Kimara, Ubungo Municipal, Dar es-Salaam, Coastal Zone, Tanzania
For Rent
APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI
Kimara, Ubungo Municipal, Dar es-Salaam, Coastal Zone, Tanzania
  • TZS 250,000

Description

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI MSELELEKO KABISA NI 250,000/= X 6

🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO

#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA NA VYUMBA VYOTE NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA SANA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING

BEI NI 250,000/= X 6

πŸ’«πŸ’« APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA

0784139933

0784139933

  • Address Kimara, Ubungo Municipal, Dar es-Salaam, Coastal Zone, Tanzania
  • City Dar Es Salaam

Details

Updated on January 22, 2025 at 2:59 am
  • Property ID: BFR-413454
  • Price: TZS 250,000
  • Bedrooms: 2
  • Bathrooms: 2
  • Property Type: Apartment
  • Property Status: For Rent

Contact Information

View Listings

Enquire About This Property

Similar Listings

Compare listings

Compare
EDWIN ILOMO
  • EDWIN ILOMO