APARTMENT NZURI INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI

 • TZS 300,000
Kimara, Ubungo Municipal, Dar es-Salaam, Coastal Zone, Tanzania
For Rent
APARTMENT NZURI INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI
Kimara, Ubungo Municipal, Dar es-Salaam, Coastal Zone, Tanzania
 • TZS 300,000

Description

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 20/04/2024 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO

πŸ’₯ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO

#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#PARKING
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA

BEI NI 300,000/= X 6

ILIPWE LAKI 3 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU

🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 12 TUU KWA MIGUU NA NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA

πŸ’₯ ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 20/04/2024 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO NA MALIPO YANAPOKELEWA

 • Address Kimara, Ubungo Municipal, Dar es-Salaam, Coastal Zone, Tanzania
 • City DAR ES SALAAM

Details

Updated on April 16, 2024 at 3:21 pm
 • Property ID: BFR-216965
 • Price: TZS 300,000
 • Bedrooms: 2
 • Bathroom: 1
 • Property Type: Apartment
 • Property Status: For Rent

Contact Information

View Listings

Enquire About This Property

Similar Listings

Compare listings

Compare
ELIBARICK REAL ESTATE
 • ELIBARICK REAL ESTATE