#Inapangishwa KIMARA KIBO karibu sana Na Mwendokasi
π Kodi Tsh 350,000/= *6
____
________
β’ Vyumba 2 vya kulala (Vyote ni Master)
β’ Sebule Kubwa
β’ Jiko
β’ Public Toilet
β’ Kabati la nguo kwenye Master kubwa
* Inajitegemea UMEME na MAJI
* Maji Yanatoka Ndani
* Fensi
* Parking
#Umbali wa Kutembea Dakika dakika 5 tu kwa miguu
Nb: Chumba Kimoja ni Kikubwa sana ila Chumba cha pili ni kidogo sana ila nacho kinachoo ndani, Hii inamfaa sana aliyekuwa na uhitaji wa master sebule na jiko au ambaye kwenye chumba cha pili hana vitu vingi vya kuweka
_________
#Malipo ya Dalali Nasoni ni Tsh 350,000/=
#Kupelekwa kuona ni Tsh 15,000/=
#0753172516
Compare listings
Compare