APARTMENT YA KISASA KABISA INAPANGISHWA
CHUMBA MASTER NA SEBULE NA JIKO NA CHOO CHA PUBLIC KWENYE FENSI MOJA ZIPO APARTMENT 4 NA HII MOJA NDIO IPO WAZI NA KILA APARTMENT INAJITEGEMEA KWA KILA KITU KUANZIA UMEME WAKE NA MITA YAKE YA MAJI DAWASA
BEI NI 300K X 6
IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KM UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO LOAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI SH 500 UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 3 UPO KWENYE NYUMBA NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
PARKING YA KUTOSHA, GARDEN NZURI,ULINZI WA KUTOSHA MASAA 24 MTEJA ULIPII ULINZI