Changanyikeni Mwisho, Makongo, Dar es Salaam, Coastal Zone, P.O BOX 35103, Tanzania
Description
Changanyikeni
Apartment ya kisasa yenye vyumba vitatu kimoja master sebule jiko na dining inapangishwa Changanyikeni zipo tatu kwenye compound mazingira mazuri yana miundombinu muhimu yote.