APARTMENT FOR SALE AT GOBA.

  • TZS 210,000,000
Goba, Ubungo Municipal, Dar es-Salaam, Coastal Zone, Tanzania
For Sale
APARTMENT FOR SALE AT GOBA.
Goba, Ubungo Municipal, Dar es-Salaam, Coastal Zone, Tanzania
  • TZS 210,000,000

Description

NYUMBA NZURI SANA ZA BIASHARA ZINAUZWA BINAFSI

 

NI APARTMENTS TATU NDANI YA ENEO MOJA JAPO UNAWEZA KUZITENGANISHA PIA

 

ZIPO GOBA DAR ES SALAAM TANZANIA,

MTAA MZURI SANA NA KARIBU SANA NA BARABARA

 

UMBALI – MITA TAKRIBANI 600 TU KUTOKA BARABARA KUU, KUTEMBEA KWA MGUU DAKIKA 8 MWENDO WA KAWAIDA

 

SIFA:

 

1. NI APARTMENT YA VYUMBA VIWILI KIMOJA SELF, SEBULE, JIKO, CHOO, KWENYE HALI ILIVYO SASA INAPANGISHWA LAKI 4, UKIONGEZA THAMANI KAMA KUMALIZIA FENSI NK KODI INAPANDA…

 

2. ZIPO MBILI HAZIJAKAMILIKA KILA MOJA INA CHUMBA KIMOJA SELF, SEBULE, JIKO, CHOO, INAWEZA KUPANGISHWA LAKI 3 IKIKAMILIKA, NA UNAWEZA KUJENGA NYINGINE MBILI AU TATU ZA NAMNA HII NA ENEO LIKABAKI KWA AJILI YA PARKING

 

Umiliki: Hati kutoka wizara ya Aridhi (Tittle Deed)

 

Ukubwa Wa Eneo: SQM 800

 

Bei : Mil 210

 

  1. Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 30,000/
  • Address Goba, Ubungo Municipal, Dar es-Salaam, Coastal Zone, Tanzania
  • City Dar Es Salaam

Details

Updated on November 10, 2024 at 5:45 pm
  • Property ID: BFR-379596
  • Price: TZS 210,000,000
  • Property Size: 800 Sq Mt
  • Property Type: Commercial
  • Property Status: For Sale

Contact Information

View Listings

Enquire About This Property

Similar Listings

Compare listings

Compare
Khadija Msangi
  • Khadija Msangi