VYUMBA VYA KULALA VITATU
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI- MBEZI BEACH JOGOO UPANDE WA JUU
———————————————————
KODI LAKI 5 KWA MWEZI
———-
MALIPO YA MIEZI 6
——
APARTMENTS
____________
YA KIFAMILIA
______
YENYE:-
Vyumba Vitatu vikubwa vya kulala kimoja ni Master
#Sebule kubwa#Dinning Jiko lenye #Makabati
#Choo/Bafu vya public#Vyandani full Ac
#Gypsum #Tiles #Slides #Windows
#Umeme upo wa #Luku yake
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space ipo
Nje #pavingblocks
full AIC vyumba vyote
FencedHouse
@dalalimbezibeach_humphrey