VYUMBA VITATU VYA KULALA
INAPANGISHWA APARTMENT
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI- MBEZI BEACH MASANA NJIA YA GOBA
———————————————————-
UGUSI VUMBI HADI NDANI
KODI TSHS LAKI 500,000/=KWA MWEZI
———-
MALIPO YA MIEZI 6
APART YA KISASA
____________
YA KIFAMILIA
______
YENYE:-
Vyumba vitatu vikubwa vya kulala kimoja ni Master
#Sebule kubwa#Dinning Jiko Zuri kubwa Stoo
#Choo/Bafu vya public#Vyandani
#Gypsum #Tiles #Slides #Windows
#Umeme upo wa #Luku yake
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space ipo
Nje FencedHouse
Garden
_______________