Apartment Mpya Mpya Zinapangishwa
Location kimara stop Over kutoka stop over KM 1 boda 1000
Chumba Master Sebule Jiko
Inajitegemea Umeme na Maji
Zipo Apartment 5 Kwenye Compaund Moja
Hizi Apartment nimpya Ukiingia Unaanza Wewe Mwenyewe
Haina fence ila usalama kama upo ikulu
Kodi 200k Miezi 6
Service charge 20k
Compare listings
Compare