APARTMENT FOR RENT AT KIMARA TEMBONI .

  • TZS 450,000/3
Kimara, Ubungo Municipal, Dar es-Salaam, Coastal Zone, Tanzania
For Rent
APARTMENT FOR RENT AT KIMARA TEMBONI .
Kimara, Ubungo Municipal, Dar es-Salaam, Coastal Zone, Tanzania
  • TZS 450,000/3

Description

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 450,000/= X 3

 

ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 13/11/2024 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO

 

🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO

 

#VYUMBA 3 VYA KULALA VIKUBWA NA VYUMBA VYOTE NI MASTER BEDROOM

#SEBULE KUBWA SANA

#JIKO KUBWA LA KISASA LENYE MAKABATI

#PUBLIC TOILET

 

BEI NI 450,000/= X 3,4,5….

 

πŸ’«πŸ’« APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA

 

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA

 

πŸ“ŒπŸ“Œ ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 13/11/2024 KUONA NDANI RUKSA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO

  • Address Kimara, Ubungo Municipal, Dar es-Salaam, Coastal Zone, Tanzania
  • City Dar Es Salaam
  • Area Kimara

Details

Updated on November 10, 2024 at 5:17 pm
  • Property ID: BFR-379547
  • Price: TZS 450,000/3
  • Property Type: Apartment
  • Property Status: For Rent

Contact Information

View Listings

Enquire About This Property

Similar Listings

Compare listings

Compare
Khadija Msangi
  • Khadija Msangi