APARTMENT FOR RENT AT KIMARA STOP OVER.

  • TZS 400,000/4
Kimara, Ubungo Municipal, Dar es-Salaam, Coastal Zone, Tanzania
For Rent
APARTMENT FOR RENT AT KIMARA STOP OVER.
Kimara, Ubungo Municipal, Dar es-Salaam, Coastal Zone, Tanzania
  • TZS 400,000/4

Description

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 400,000/= X 4

 

ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 01/02/2025 KUIONA NDANI ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO

 

🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO

 

#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM

#SEBULE KUBWA SANA

#JIKO KUBWA

#PUBLIC TOILET

#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA

#PARKING KUBWA

 

BEI NI 400,000/= X 4

 

πŸ’«πŸ’« APARTMENT HII IPO KIMARA STOP OVER UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.8 USAFIRI NI BODABODA UPO MUDA WOTE

 

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA

  • Address Kimara, Ubungo Municipal, Dar es-Salaam, Coastal Zone, Tanzania
  • City Dar Es Salaam
  • Area Kimara

Details

Updated on January 10, 2025 at 6:35 pm
  • Property ID: BFR-407149
  • Price: TZS 400,000/4
  • Property Type: House
  • Property Status: For Rent

Contact Information

View Listings

Enquire About This Property

Similar Listings

Compare listings

Compare
Khadija Msangi
  • Khadija Msangi