APARTMENTS HIZI ZIPO BONYOKWA NA UMBALI KUTOKA BONYOKWA MWISHO NI DK 6-7 KUTEMBEA KWA MIGUU
CHUMBA MASTER KUBWA SANA
SEBULE KUBWA
JIKO KUBWA
KODI NI TZS 200K X6
TYRIES GYPSUM MADIRISHA YANAWEKWA ALUMINIUM FENCE INAJENGWA
FULL GARDEN FULL PARVING BLOCKS
KILA MOJA INAJITEGEMEA UMEME LUKU PIA MAJI YANATIRIRIKA NDANI
CHANGAMKIA FURSA NDUGU MTEJA BADO HUJACHELEWA
SERVICE CHARGE NI TZS.15000
MALIPO YADALALI MWEZI MOJA ULIPIAPO NYUMBA
NB:INAKUWA WAZI TAREHE 30/12/2024 KULIPIA RUKUSA
Compare listings
Compare