APARTMENT《 4》 TU NDANI YA FENCE MOJA ZINAPANGISHWA
MAHALI ZILIPO SALASALA MWISHO WA LAMI KWA MKUU WA MAGELEZA
USAFILI BAJA JI 《700 》
UMBALI WA DAKIKA 《8》 KWA MIGUU UKISHUKA STENDI
SOMA KWA MAKINI
SIFA ZAKE
《A》
Vyumba 3 vya kulala vyote ni Master VYUMBANI KUNA ACE PIA KUNA MAKABATI YA NGUO
Seble Kubwa
Jiko kubwa
Store jikoni full makabati
Public toilet
Maji Ndani PIA KUNA HEATER YA MAJI moto
Luku yako KODI NI 1100,000 malipo X2x3
《e》
chumba master sebule kubwa sana jiko kubwa sana full makabati inajite gemea umeme na maji KODI NI 700,000 malipo ni X2X3
《i》
yumba viwili
kimojawapo ni master kubwa sana sebule kubwa sana jiko kubwa sana lenye makabati public toleti ndani kodi ni 1000,000 malipo ni X2X3
ZIPO Ndani ya fence zipo 4 tu
Parking space kubwa sana full gardeni
Service charge 《2O》
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja kwa mwezi unampatia dalali ukilipia nyumba
Compare listings
Compare