House for Sale(APARTMENT)
Note:- Ziko Apartment sita 6 kwenye ghorofa π
Location:- KINONDONI MOROCO
Asking Price:- ml 700 negotiable Kwa zote
Kila moja inampangaji analipa lak 7
Kwa mwezi.zinatizama lami ya mta
Size plot square meters 500 π
Sifa za Nyumba:-
1.Vyumba viwili vya kulala
2.Chumba kimoja ni self contained (Master)
3.Sebule nzuri kubwa
4.Jiko zuri la makabati
5.Public Toilet and bathroom
6.Luku inajitegemea
7.Maji ya bomba yapo
8.Air conditioner
9.Paving blocks
10.Parking space
11.Fenced
NYUMBA ZOTE ZINAFANANA
Compare listings
Compare