Ununio Road, Kinondoni Municipal, Dar es Salaam, Coastal Zone, Tanzania
TZS 150,000,000
Description
Ununio
Plot inauzwa ipo ununio ni SQM 2400 ina msingi wa gorofa Bei ni tsh mil 150 kiwanja kina hati miliki kipo katika mazingira yaliyojengeka kisasa na miundombinu yote muhimu inapatikana.