#VYUMBA_VIWILI \n INAPANGISHWA\nIKO-DAR-ES-SALAAM Tz\nMAHALI-MBEZI BEACH \n______________\nKODI TSHS LAKI 600,000\/=KWA MWEZI\n_________________\nMALIPO YA MIEZI 6\n________\nNZURI YA KISASA \n_____________\nYA KIFAMILIA,\n_______\nYENYE:-\nVyumba Viwili vya kulala #Masta #Sebule kubwa #Aircondition #dinning #Jiko zuri lenye stoo #Choo\/#Bafu vya ndani public \n#Gypsum #Tiles #aluminium #Windows \n#Umeme upo wa #Luku yake\n#Maji yapo ya #bomba #24hrs\nCars #Parking Space\nNje #Pavingblocks #Garden \n#FencedHouse \n____________\n\nPAMOJA NA normal call \nPia viwanja vinapatikana vya KUNUNUA